🎹 Chordroom

Your Song Chords & Lyrics Database

Malaika - Miriam Makeba Chords

Chords: G, D, G7, C, Am

More chords by Miriam Makeba

Genre: afrobeat, jazz, world

[Intro]
G D G D
Malaika, nakupenda malaika,
G D G G7
malaika, nakupenda Malaika.
C Am D
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
D G D G D
nashindwa na mali sina, we, ningekuoa Malaika,
N.C. G D G D
nashindwa na mali sina, we, ningekuoa Malaika.

[Verse 1]
G D G D
Pesa zasumbua roho yangu,
G D G G7
pesa zasumbua roho yangu.
C Am D
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
N.C. G D G D
nashindwa na mali sina, we, ningekuoa Malaika,
N.C. G D G D
nashindwa na mali sina, we, ningekuoa Malaika,

[Verse 2]
G D G D
Kidege, hukuwaza kidege,
G D G G7
Kidege, hukuwaza kidege,
C Am D
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
N.C. G D G D
nashindwa na mali sina, we, ningekuoa Malaika,
N.C. G D G D
nashindwa na mali sina, we, ningekuoa Malaika,

More Miriam Makeba Songs

ChordRoom - Free Guitar & Piano Chords